87. DENI YA DHAMBI ILIMALIZIKA

DENI YA DHAMBI ILIMALIZIKA

1.  Deni yangu ya dhambi,
Yesu amelipa.
Kwake msalabani
Nilipewa uzima.

Chorus:
Deni ya dhambi,
Msalabani,
Ilimalizikia,
Ni huru kabisa.
 
2.  Bwana Yesu asema,
“Mwanangu dhaifu,
Uwezo na ushindi
Hupatikana kwangu.”
 
3.  Bwana, kweli naona,
Nguvu zako pekee
Huondoa ukoma,
Niwe kipya kiumbe.
 
4.  Sina wema moyoni,
Nidai neema,
Nakubali kabisa,
Kwa damu kusafiwa.
 
5.  Hata huko Mbinguni
Miguuni pake,
“Yesu alinifia,”
Nitaimba milele.

Comments

Popular posts from this blog

110. MAPYA NI MAPENZI HAYO

88. NDIYO DAMU YA BARAKA