105. KUWATAFUTA WASIOWEZA

KUWATAFUTA WASIOWEZA

1.  Kuwatafuta wasioweza,
Kuomba wamrejee Yesu,
Kuwaambia maneno yake,
“Njooni kwangu, nawapenda”.
 
Chorus:
Nitakwenda, (kwenda), niwatafute
Waongofu (wa Bwana) wageuke,
Waingie (wote) katika zizi
La Mkombozi (wetu) Yesu kristo.
 
2.  Kuwatafuta wasioweza,
Waonyeshwe Mwokozi wetu,
Kuwaongoza, wapate wote
Uzima wa milele.
 
3.  Kazi hiyo nataka kufanya,
Leo nimesikia mwito
Kuwainua waangukao,
Waletwe kwake Yesu njia.

Comments

Popular posts from this blog

87. DENI YA DHAMBI ILIMALIZIKA

110. MAPYA NI MAPENZI HAYO

88. NDIYO DAMU YA BARAKA