95. HIVI VITA VIMEKOMA

HIVI VITA VIMEKOMA
 
1.  Hivi vita vimekoma,
Vimeshindwa na uzima,
Na asifiwe daima,
Bwana Yesu.

Chorus:
Aleluya! Aleluya! Aleluya!
 
2.  Nguvu za kifo ni hizo,
Ila hazina uwezo,
Ndizo sasa avunjazo,
Bwana Yesu.
 
3.  Siku tatu za huzuni,
Kisha atoka ufuni,
Asifiwe duniani,
Bwana Yesu.
 
4.  Mapingu ameyavunja,
Mbingu amezifunga,
Nasi sasa twamwimbia,
Bwana Yesu.
 
5.  Na ulivyopigwa wewe,
Ni kwamba tufunguliwe,
Milele na usifiwe,
Bwana Yesu.

Comments

Popular posts from this blog

87. DENI YA DHAMBI ILIMALIZIKA

110. MAPYA NI MAPENZI HAYO

88. NDIYO DAMU YA BARAKA