96. MLE KABURINI, YESU MWOKOZI

MLE KABURINI, YESU MWOKOZI

1.  Mle kaburini, Yesu Mwokozi!
Alilazwa chini, Bwana wangu!

Chorus: 
Bwana! Amefufuka,
Kifo kimeshindwa kabisa!
Gizani mle alitoka chini,
Sasa atawala huko Mbinguni!
Yu hai! Yu hai!
Bwana Yesu yu hai!
 
2.  Aungoja huo, Yesu Mwokozi!
Mchana ujao, Bwana wangu!
 
3.  Walinda kaburi, Yesu Mwokozi!
Bure ni muhuri, Bwana wangu!
 
4.  Kifo kimeshindwa, Yesu mwokozi!
Pingu zimevunjwa, Bwana wangu!

Comments

Popular posts from this blog

87. DENI YA DHAMBI ILIMALIZIKA

110. MAPYA NI MAPENZI HAYO

88. NDIYO DAMU YA BARAKA